pakua-mixtape-5-mpya-za-muziki-bora-machi-2021-(mp3-download)

Pakua Mixtape 5 Mpya za Muziki Bora Machi 2021 (MP3 Download)

Tunapoanza mwezi mpya wa Machi 2021, Mdundo umekuandalia mixtapes mpya mpya za kukusisimua na kukuchanagamsha unapoendelea na shughuli zako.

Katika nakala hii, tunaangazia mixtapes tano mpya zilizo kwenye Mdundo Tanzania unazofaa kupakua na kuskiza mwezi huu:

RELATED: Pakua Mixtape 5 ya Mziki Bora

Pakua Mixtape 5 Mpya za Muziki Bora Machi 2021
Bongo#

Mix hii ina ngoma kali kali kutoka kwa wasanii wa kizazi kipya kama vile; Mimi Mars, Jux, Darassa, Marioo, Rostam, Maua Sama na wengineo.

Mixtape hii ina nyimbo zilizoachiwa hivi karibuni.

Bongo Mix 2021

Hii mixtape pia ina midundo moto moto na inashirikisha wasanii toka eneo la Afrika Mashariki kama vile Arrow Bwoy, Rayvanny, Harmonize, Ibraah na wasanii wengine wengi.

Nyimbo zilizo kwenye mix hii ni kama vile; Nimpende yake Ibraah, Jeshi yake Harmonize na nyimbo zingine.

Bongo 2021 Mix Vol 1

Mix hii ni tofauti na zingine kwenye orodha hii kwani inamshirikisha msani tajika kutoka Nigeria Yemi Alade na wasanii wakubwa kutoka Kenya kama vile; Nadia Mukami, Willy Paul na Sauti Sol.

Pia imewashirisha wasanii wa Bongo kama vile Aslay, Alikiba na Ommy Dimpoz.

Taarab Mix

Mix hii ina muziki nyororo wa Taarab utakao kufurahisha na kukufanya utulie na kupumzika.

Wasanii walio kwenye mix ni kama vile; Kilimanjaro Band, Mzee Yusuf, Girl JayDee, Mzee Yusuf na wasanii wengine wengi.

Singeli Mix

Mixtape hii inaangazia nyimbo za Singeli ambazo zina umaarufu hasa kwenye vijiji za Tanzania.

Wasanii walioshirikishwa ni kama vile; Jeusi MC, Bizz supreme, Buda Zoni na wengine wengi.

Kupata mixtape zaidi tembelea ukurusa huu: https://mdundo.com/genres/245.

Pia ukitaka kupata mixtapes za Mdundo kila siku kwa Tsh 100, jisajili hapa: https://mdundo.com/dl/1587643

Share