mixes-5-bora-za-kupakua-kwenye-mdundo-wiki-hii-(mp3-download)

Mixes 5 Bora za Kupakua Kwenye Mdundo Wiki Hii (MP3 Download)

Tunapoanza wiki mpya katika mwezi huu wa Machi 2021, Mdundo umekuandalia mixtapes tano mpya za kukusisimua na kukuchanagamsha unapoendelea na shughuli zako.

Mixes 5 Bora za Kupakua Kwenye Mdundo Wiki Hii

Mixtape hizi zina mchanganyiko wa wimbo moto moto kutoka kwa wasanii tajika eneo la Afrika Mashariki.

Hii hapa orodha ya mixtape tano mpya zilizo kwenye Mdundo Tanzania unazofaa kupakua na kusikiliza mwezi huu:

RELATED: Pakua Mixtape 5 Mpya za Muziki Bora Machi 2021

Bongo Combine March 2021 Vol 1

Mixtape hii ni yenye maudhui ya mapenzi na ina nyimbo kutoka kwa wasanii kama vile; Aslay, Darassa, Ruby na Nadia Mukami.

Ijapokuwa mwezi na siku ya wapendanao ilishapita, bado unaweza kusikiliza nyimbo hizi pamoja na mpenzi wako ili kuwachangamsha na kusisimua mapenzi yenu.

DJ Bee East African Combine

Hii n mixtape yenye nyimbo bora kutoka kwa wasanii tajika eneo la Africa Mashariki. Nyimbo hizi zina mdundo wa kusisumua na ni zeny maudhui ya kudensi na kufurahia maisha.

Iwapo unataka kujipa raha mwenyewe, basi pakua mixtape hii kwenye mtandao wa Mdundo Tanzania. Wasanii walioshirikishwa ni kama vile; Nyashinski, Shebah, Kelechi Africa na Willy Paul

DJ Bee East African Combine Vol 2

Mixtape hii ina nyimbo zenye midundo ya kutumbuiza na kufurahisha kutoka eno la Afrika Mashariki. Nyimbo zilizo kwenye mixtape hiiniya maudhui ya mapenzi.

Wasanii walioshirikishwa ni kama vile; Willy Paul, Otile Brown, Vinka, Meddy Aslay na wengine wengi.

International Girls’s Day Model

Mixtapee hii iliandaliwa ili kuwasherekea wasanii wa kike wanaofanya vizuri kwenye sanaa ya muziki.

Tarehe8 mwezi wa Machi huwa siku ya wanawake duniani, hivyo mixtape hii iliandaliwa ili kuambatana na siku hio.

Wasanii walioshirikishwa ni kama vile; Zuchu, Nandy na Duduke miongini mwa wengine.

International Girls’s Day Model Vol 2

Mixtape hii pia ni ya kuwasherehkea wasanii wa kike kutoka bara Afrika wanaofanya vizuri kimuziki. Mixtape hii inamchanganyiko ya wimbo kutoka Nigria, Kenya na Bongo.

Wasanii walioshirikishwa ni kama vile; Yemi lade, Zuchu, Maua Sama na Ssaru.

Over time, Tanzania has been increasing musically and is slowly turning into East Africa’s tune hub on account of artists like Diamond Platnumz, Harmonize, Alikiba and their respective sage labels which shall be nurturing upcoming artists.

The three artists are arguably the first-rate names within the Bongo tune scene on the 2nd, with their tune dominating Bongo playlists and charts.

On this text, we overview five top bongo playlists that you just would be in a position to well maybe easy download on Mdundo, and jam to this week:

Nyimbo za Kuabudu

Right here is a chain of reward and love songs from top Tanzanian gospel artists like; Christina Shusho, Martha Mwaipaja, Bahati Bukuku, Rose Muhando amongst others.

The songs have deep non secular messages that can plan you closer to God.

Hear Right here

Bongo Flava Combine

This playlist takes us wait on in time because it parts songs from the abilities WCB started dominating the bongo tune scene.

It parts all early releases by Wasafi’s Diamond, Rayvanny, Mbosso and their chart-topping collabos with Nigerian musicians like Patoranking.

Hear Right here

Romantic Song

Right here is a pure romance playlist for fans. It parts bongo stars and their collaboration with other African tune giants like Patoranking and Rema.

The songs in this playlist are slack and have estimable beats that can rep you within the romance mood.

Hear Right here

Waah! Diamond

Right here is a chain of top hits and mixes from Diamond Platnumz. Through this playlist, you’ll rep to tackle Diamond’s tune hotfoot, as you rep pleasure from the transition from his outdated jams to his unique releases which boast of estimable production and mountainous bits.

Just a few of the songs featured in this playlist encompass; Yope Remix, Haunisumbui and Waah amongst others.

Hear Right here

Singeli Mpya

Singeli tune is Tanzania’s model of digital dance tune that emerged within the mid-2000s. The fashion fuses lickety-split beats and musical influences from older Tanzanian genres like Taarab, Mchiriku, Segere, and Bongo Flava.

Over time, the fashion has been struggling to head mainstream on account of the shortage of beef up from established artists.

On the different hand in 2020, several top artists embraced Singeli tune and it’s now slowly turning to be yet any other pride of Tanzanian tune heritage.

This playlist highlights about a of the first-rate Singeli tune that you just would be in a position to well maybe easy jam to this week. Just a few of the featured artists encompass; Mejja Kunta, Dulla Makabila, Msaga SUmu amongst others.

Hear Right here

To rep more mixes, please talk over with: https://mdundo.com/genres/245

To rep each day mixes from Mdundo, subscribe to Mdundo Bundle for Tsh 100 right here: https://mdundo.com/dl/1587643

Share