Mambo 10 Usiyofahamu kuhusu Drake (VIDEO)

Drake ni nyota wa rap aliyezaliwa Toronto anayejulikana kwa nyimbo maarufu kama Gods Plan, One Dance na Hotline Bling. Kazi yake ya muziki aliianza rasmi mnamo mwaka 2006 kwa kuachia mixtape iliyokwenda kwa jina “Room for Improvement”. Miaka 3 baadaye, mixtape yake ya 3 ikampatia mafanikio makubwa na ya kibiashara, ila nyota yake iliziki kung’ara baada ya kusainiwa kwenye label ya Lil Wayne, Young Money Entertainment.Leo hii ni mmoja wa rapa wakubwa ulimwenguni.

TAZAMA EPISODE