diamond-platnumz-–-staki-ft-princess-tiffah-(tuingoje??)-(mp3-download)

Diamond Platnumz – Staki Ft Princess Tiffah (Tuingoje??) (MP3 Download)

Hello welcome motivate, Katika pitapita za huku na kule katika mitandao ya kijamii, kuna taarifa zinazosamba Diamond Platnumz kwamba yuko njiani kuachia wimbo mpya “STAKI” akiwa ameshirikisha mtoto wake wa kwanza Princess Tiffah.

RELATED: Diamond Platnumz – Jeje (Prod. Kel P)

Na habari hizi alizichapishwa Diamond Platnumz mwenyewe, kwenye ukurasa wa instagram, ikisindikizwa na video clip fupi ikimwonyesha Diamond Platnumz na Princess Tiffah wakiwa studio huku Princess Tiffah akiingiza maneno kwenye wimbo, ikiwa.

staki tiffah

Huku ikisindizwa na hii caption “How we originate ending the 2020 twelve months!!.. #STAKfeet My Coronary heart, Body, Blood & Veins @princess_tiffah …. ( Hivi tunaendaje TUMEWASHA TOUR Bila kuanza kufumua Mashine Mpya kwa Mfano??? #STAKI feet My Miss World @princess_tiffah )”

DOWNLOAD MP3 Diamond Platnumz – Sitaki Ft Princess Tiffah

 

 

Share